Sunday, April 28, 2013

LIVERPOOL YATOA NUSU DOZENI DHIDI YA NEWCASTLE UNITED 6-MTUNGI
MATOKEO:
Jumamosi 27 Aprili
Man City 2 West Ham 0
Everton 1 Fulham 0
Southampton 0 West Brom 3
Stoke 1 Norwich 0
Wigan 2 Tottenham 2
Newcastle 0 Liverpool 6
WAKIWA UWANJANI bila Straika waomahili, Luis Suarez, ambae leo ameanza kutumikia ADHABU  ya  Mechi 10 kwa kumng"ata" meno Branislav Ivanovic wa Chelsea, Liverpool, wakiwa ugenini Uwanjani St James Park, wamefanikiwa kuitandika Newcastle united Bao 6-0 katika Mechi ya BPL.
MAGOLI:
Newcastle 0
Liverpool 6
-Agger Dakika ya 3
-Henderson 17 & 76
-Sturridge 54 & 60
-Borini 74
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Man Utd
34
43
84
2
Man City
34
30
71
3
Arsenal
34
30
63
4
Chelsea
33
31
62
5
Tottenham
34
17
62
6
Everton
35
14
59
7
Liverpool
35
25
54
8
West Brom
34
2
48
9
Swansea
33
1
42
10
West Ham
35
-8
42
11
Fulham
35
-9
40
12
Stoke
35
-10
40
13
Southampton
35
-10
39
14
Norwich
35
-21
38
15
Sunderland
34
-7
37
16
Newcastle
35
-23
37
17
Aston Villa
34
-27
34
18
Wigan
34
-23
32
19
QPR
34
-27
24
20
Reading
34
-28
24
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
BPL, BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Jumapili 28 Aprili
[Saa 9 na Nusu Mchana]
Reading v QPR
[Saa 11 Jioni]
Chelsea v Swansea City
[Saa 12 Jioni]
Arsenal v Man United
Jumatatu 29 Aprili
[Saa 4 Usiku]
Aston Villa v Sunderland