Mchezo huo unamepangwa kuanza saa 10:00.
Vipers Fc inatarajiwa kuwasili Mbeya jioni ya leo ikitokea Entebbe kupitia Dar Es Salaam ambapo Kiingilio kitakuwa Sh.3000
Hii ikiwa ni mabadiliko kutoka kiingilio kilichotangazwa awali cha sh. 5000
DISMAS TEN
OFISA HABARI
MBEYA CITY COUNCIL FC.