Sunday, April 28, 2013

SAMWELI ETO'O KATIKA ULIMWENGU WA SOKA
Samuel 2011.jpg
Eto'o in 2011.
Kuhusu yeye
Full nameSamuel Eto'o Fils
Date of birth10 March 1981 (age 32)
Place of birthDoualaCameroon[1]
Height1.80 m (5 ft 11 in)[2]
Playing positionStriker
Timu
Current clubAnzhi Makhachkala
Number9
academy
1992–1997Kadji Sports Academy
Timu za ukubwa
YearsTeammechi(Goli)"
1997–2000Real Madrid3(0)
1997–1998→ Leganés (mkopo)30(4)
1999→ Espanyol (mkopo)0(0)
2000→ Mallorca (mkopo)19(6)
2000–2004Mallorca120(48)
2004–2009Barcelona145(108)
2009–2011Internazionale67(33)
2011–Anzhi Makhachkala43(21)


TIMU YA TAIFA CAMEROON 
YearmechiGoli
199730
199850
199910
200095
200192
2002135
200372
200494
200561
200655
200731
20081111
200985
2010128
201194
201220
201312
Total11255

TIMU NA MATAJI ALIYOCHUKUWA

Mallorca
Barcelona
Inter milan

kimataifa

Cameroon
Cameroon Olympic Team




TUZO BINAFSI
 1.Mchezaji wa Mwaka afrika: 2003, 2004, 2005, 2010
 2.mshambuliaji bora wa Mwaka UEFA: 2006
 3.FIFA World Cup - Golden mpira 2010
 4.2005 FIFA World Mchezaji wa Mwaka wa Tatu
 5.Vijana wa Afrika Mchezaji wa Mwaka: 2000
 6.ESM Timu ya Mwaka: 2004-05, 2005-06, 2008-09, 2010-11
 7.FIFPro World XI: 2005, 2006
 8.UEFA Timu ya Mwaka: 2005, 2006
 9.Kombe la Mataifa mfungaji bora: 2006, 2008
10.Kombe la Mataifa ya wakati wote mfungaji bora
11.RCD Mallorca ya wakati wote mfungaji bora
12.mfungaji bora Cameroon wakati wote
13.Ligi ya Mabingwa ya Final Man of the mechi 2006
14.CAF Kuanzia XI katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2006 Misri
VILANOVA BADO YUPO YUPO NDANI YA FC BARCELONA
Meneja wa klabu ya Barcelona, Tito Vilanova ana nia ya kuendelea kuinoa klabu hiyo msimu ujao pamoja na athari za matibabu yake ya kansa ya koo na pia anaamini kuwa kikosi chake inaweza kuitoa Bayern Munich na kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Akihojiwa katika mkutano wake wa kwanza na waandishi toka alipotoka katika matibabu ya mionzi jijini New York mwezi mmoja uliopita, Vilanova amesema bado ana shauku kubwa na kuendelea na kazi yake na hakuna mara moja alipofikiria kuacha. Vilanova amesema madaktari kuwa kitu kizuri cha kufanya kwasasa ili kumsaidia kupona ni kufanya kazi na anafurahia jambo hilo. Kocha huyo pia mbali na timu yake kugaragazwa na Bayern kwa mabao 4-0 Jumanne iliyopita lakini ameonyesha kujiamini kwamba wachezaji wake wanauwezo wa kugeuza matokeo katika mchezo wa marudiano utakaopigwa katika Uwanja wa Camp Nou Jumatano ijayo. Vilanova amesema anaamini wachezaji wake wanaweza kufanya maajabu katika mchezo huo haswa ikizingatiwa watakuwa wakicheza mbele ya mashabiki wao ingawa amekiri itakuwa kazi ngumu kwani wapinzania wao nao hawataifanya kazi yao iwe rahisi.

WAKATI WA NEYMA KUONDOKA SANTOS UMEWADIA
LA LIGA KUTIMUA VUMBI DIMBANI
MATOKEO
Jumamosi Aprili 27
17:00 Levante 0 v  1 Celta de Vigo
19:00 Athletic de Bilbao 2 v FC 2 Barcelona
21:00 Atletico de Madrid 1 v  2Real Madrid CF
23:00 Real Zaragoza 3 v 2 Real Mallorca
WAFUNGAJI BORA-LA LIGA:
-43 Lionel Messi (Barcelona)
-31 Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
-25 Radamel Falcao (Atletico Madrid)
-18 Alvaro Negredo (Sevilla)
-17 Roberto Soldado (Valencia)
-16 Ruben Castro (Real Betis)
-15 Piti (Rayo Vallecano)
-13 Aduriz (Athletic Bilbao) Gonzalo Higuain (Real Madrid) Carlos Vela (Real Sociedad)
-12 Riki (Deportivo Coruna)
-11 Oscar (Real Valladolid) Helder Postiga (Real Zaragoza) Jonas (Valencia)
-10 Iago Aspas (Celta Vigo) Cesc Fabregas (Barcelona) Jorge Molina (Real Betis)
-9 Kike Sola (Osasuna) Joan Verdu (Espanyol) Karim Benzema (Real Madrid) Imanol Agirretxe (Real Sociedad)
WAFUNGAJI BORA-LA LIGA:


Lionel Messi 44 (Barcelona)
-31 Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
-25 Radamel Falcao (Atletico Madrid)
-18 Alvaro Negredo (Sevilla)
-17 Roberto Soldado (Valencia)
-16 Ruben Castro (Real Betis)
-15 Piti (Rayo Vallecano)
-13 Aduriz (Athletic Bilbao) Gonzalo Higuain (Real Madrid) Carlos Vela (Real Sociedad)
-12 Riki (Deportivo Coruna)
-11 Oscar (Real Valladolid) Helder Postiga (Real Zaragoza) Jonas (Valencia)
-10 Iago Aspas (Celta Vigo) Cesc Fabregas (Barcelona) Jorge Molina (Real Betis)
-9 Kike Sola (Osasuna) Joan Verdu (Espanyol) Karim Benzema (Real Madrid) Imanol Agirretxe (Real Sociedad)

MSIMAMO WA LA LIGA 10 BORA



TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Barcelona
33
27
3
2
99
33
68
85
2
Real Madrid
33
22
5
5
83
30
55
74
3
Atletico
33
21
5
6
57
25
33
68
4
Sociedad
32
15
10
7
57
39
18
55
5
Valencia
32
15
8
9
52
46
6
53
6
Malaga CF
32
14
8
10
45
37
8
50
7
Real Betis
32
14
6
12
48
49
-1
48
8
Vallecano
33
14
4
15
43
54
-11
46
9
Getafe CF
32
12
8
12
39
48
-9
44
10
Espanyol
32
11
10
11
42
42
0
43













LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumapili Aprili 28
13:00 RCD Espanyol v Granada CF
18:00 Malaga CF v Getafe CF
20:00 Real Valladolid v Sevilla FC
22:00 Real Sociedad v Valencia