Friday, April 26, 2013

INIESTA AFUNGUKA KUHUSU  KIPIGO CHA BAO 4-0

KIUNGO wa klabu ya FC Barcelona, Andres Iniesta amesisitiza kuwa watu hawaitendei haki timu hiyo baada ya kufungwa na Bayern Munich mabao 4-0 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Watu ambali mbalimbali wamekuwa wakiponda kiwango cha timu hiyo baada ya kupigo hicho cha kushtusha walichikipata katika Uwanja wa Allianz Arena Jumanne huku wengi wengi wao wakidai enzi za timu hiyo kung’ara zimekwisha. Hata hivyo Iniesta amesisitiza kuwa ni mapema mno kudai kuwa kiwango cha timu hiyo kimekwisha na kuwataka watu wawape heshima zaidi kwasababu wanastahili. Iniesta amesema katika kipindi cha misimu mitano wameshinda taji la Ligi ya Mabingwa mara tatu na kufika zaidi ya mara tatu nusu fainali na kwasasa wanakaribia kunyakuwa taji la nne la ligi na kwao hayo ni mafanikio makubwa. Nyota huyo aliendelea kusema kuwa badala ya watu kuwaponda wanatakiwa wawaheshimu kwasababu wamekuwa wakijitolea kwa kila kitu pindi wanapokuwa uwanjani na wamefanikiwa mambo mengi. Barcelona inatarajiwa kukwaana na Athletico Bilbao baadae leo katika mchezo wa La Liga .
DANY LYANGA AIPA YANGA UBINGWA LEO NA KULETA SHANGWE JANGWANI"
Katika mechi ya ligi kuu iliochezwa leo katika dimba la uwanja wa mkwakwani jijini tanga kati ya wawakilishi wa tanzania waliobaki katika michuano ya kombe la shirikisho barani africa azam fc wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wagosi wa kaya coastal union katika mchezo uliokuwa na upinzani wa hali ya juu.

Katika mchezo huo azam fc ndio wa kwanza kupata bao kupitia waliokuwa wa klililowekwa kimiani na beki Aggrey Morris kwa  njia ya mkwaju wa penalti dakika ya 60, baada ya mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Gaudence Mwaikimba kuchezewa rafu katika eneo la hatari  na beki Yussuf Chuma na refa Andrew Shamba wa Pwani kuamuru penalti.
Kwa upande wa coastal union lilipata bao kunako dakika ya  72 mshambuliaji wao hatari dany lyanga aliechukuwa nafasi ya mzenji suileman kassim selembe nakupelea kuleta furaha za ubingwa kwa wanajangwani dar es salaam yanga afrika.
Kwa Matokeo hayo yanaonyesha kuwa Azam FC waliokuwa washindani wakuu wa Yanga SC yenye pointi 56,  kamwe hawawezi kufikisha pointi hizo ambazo wanazo mabingwa hao wapya, kwani hata wakishinda mechi zao nyingine  mbili zilizobaki, watamaliza na pointi 54. 
MECHI ZILIZOBAKI KWA VIGOGO

AZAM FC
Mei 11, 2013;    Vs Mgambo JKT  (Chamazi)
Mei 18, 2013;    Vs JKT Oljoro      (Arusha)

P W D L GF GA GD Pts
2 Azam FC 24 14 5 4 41 19 22 48

SIMBA SC:
Aprili 28, 2013; Vs Polisi Moro       (Taifa)
Mei 5, 2013;      Vs Ruvu Shooting (Taifa)
Mei 8, 2013;      Vs Mgambo JKT   (Taifa)
Mei 18, 2013;    Vs Yanga SC        (Taifa)

P W D L GF GA GD Pts
4 Simba SC 22 9 9 4 32 21 11 36

YANGA SC:
Mei 1, 2013;    Vs Coastal Union  (Taifa)
Mei 18, 2013;  Vs Simba SC        (Taifa)

P W D L GF GA GD Pts
1 Yanga SC 24 17 5 2 44 13 31 56 

MSIMAMO VPL

3 Kagera Sugar      23 11 7 5 25 18 7 40

4 Simba SC        22 9 9 4 32 21 11 36

5 Mtibwa Sugar       24 9 9 6 27 23 4 36

6 Coastal Union      24 8 10 6 24 21 3 34

7 Ruvu Shooting 22 8 6 8 21 21 0 30
8 JKT Oljoro 24 7 7 10 22 27 -5 28
9 Prisons        24 6 8 10 14 21 -7 26
10 JKT Ruvu 24 7 5 12 20 37 -17 26
11 Mgambo JKT        23 7 4 12 16 23 -7 25
12 Toto African        25 4 10 11 22 34 -12 22
13 Polisi Moro        23 3 10 10 12 22 -10 19
14 African Lyon        24 5 4 15 16 36 -20 19

ORODHA TIMU ZILIZOTWAA UBINGWA WA LIGI KUU:
1965 : Sunderland (simba) 
1966 : Sunderland (simba) 
1967 : Cosmopolitans (Dar es Salaam) 
1968 : Yanga 
1969 : Yanga 
1970 : Yanga 
1971 : Yanga 
1972 : Yanga 
1973 : Simba 
1974 : Yanga 
1975 : Mseto SC (Morogoro) 
1976 : Simba 
1977 : Simba 
1978 : Simba 
1979 : Simba 
1980 : Simba 
1981 : Yanga 
1982 : Pan African 
1983 : Yanga 
1984 : Simba 
1985 : Yanga 
1986 : Tukuyu Stars (Mbeya) 
1987 : Yanga 
1988 : Coastal Union (Dar es Salaam) 
1989 : Yanga 
1990 : Simba  
1991 : Yanga 
1992 : Yanga 
1993 : Yanga 
1994 : Simba 
1995 : Simba 
1996 : Yanga 
1997 : Yanga 
1998 : Yanga 
1999 : Mtibwa Sugar (Morogoro) 
2000 : Mtibwa Sugar (Morogoro)  
2001 : Simba 
2002 : Yanga 
2003 : Simba 
2004 : Simba 
2005 : Yanga 
2006 : Yanga 
2007 : Simba (Ligi Ndogo) 
2008 : Yanga 
2009:  Yanga  
2010: Simba SC
2011: Yanga SC
2012: Simba SC
2013: Yanga SC
BAYERN YAPINGA KUHUSU MKALI WA REAL MADRID
Mabingwa wa ujerumani msimu huu fc Bayern Munich ya Ujerumani imetoa taarifa ya kupinga kuwa wamefikia makubaliano ya uhamisho na mshambuliaji wa Borussia Dortmund Robert Lewandowski. Wakala wa mshambuliaji wa kimataifa wa Poland, Maik Barthel jana alidai kuwa mchezaji huyo anataka kuondoka Dortmund katika kipindi cha majira kiangazi na kuongeza kuwa wameshafikia makubaliano binafsi na klabu nyingine na kusabaisha kuleta uvumi kwamba atahamia munich. aidha Bayern wamebainisha kuwa hakuna ukweli wowote kuhusiana na taarifa kwamba tayari wamemsajili Lewandowski. hata hivyo Lewandowski mwenye umri wa miaka 24 bado anamkataba na Dortmund ambao unaomalizika mwaka 2014 lakini ameshatoa msimamo wake kuwa hana mpango wa kuongeza mkataba mwingine na klabu hiyo.
  
Robert Lewandowski 2010.jpg


Kuhusu yeye
Full nameRobert Lewandowski
Date of birth21 August 1988 (age 24)
Place of birthWarsawPoland
Height1.84 m (6 ft 0 in)
Playing positionStriker
Club information
Current clubBorussia Dortmund
Number9
Timu ya utoto
1997–2004Varsovia Warsaw
Timu za ukubwa
YearsTeamApps(Gls)
2005Delta Warsaw10(4)
2005–2006Legia Warsaw II?(2)
2006–2008Znicz Pruszków59(36)
2008–2010Lech PoznaÅ„58(32)
2010–Borussia Dortmund94(53)
Timu ya Taifa
2008Poland U213(0)
2008–


TUZO BINAFI

Poland53
(17)















BPL; KUWAKA MOTO WIKIENDI MAN U TAYARI BINGWA KAZI 4 BORA"
BPL_LOGO
BPL, BARCLAYS PREMIER LEAGUE
RATIBA
Jumamosi 27 Aprili
[Saa 8 Dak 45 Mchana]
Man City v West Ham
[Saa 11 Jioni]
Chelsea v Swansea
Everton v Fulham
Southampton v West Brom
Stoke v Norwich
Wigan  Tottenham
[Saa 1 na Nusu Usiku]
Newcastle v Liverpool
BPL, BARCLAYS PREMIER LEAGUE
RATIBA
Jumapili 28 Aprili
[Saa 9 na Nusu Mchana]
Reading v QPR
[Saa 12 Jioni]
Arsenal v Man United
Jumatatu 29 Aprili
[Saa 4 Usiku]
Aston Villa v Sunderland
MSIMAMO-Timu za JUU:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Man Utd
34
40
84
2
Man City
33
29
68
3
Arsenal
34
30
63
4
Chelsea
33
31
62
5
Tottenham
33
17
61
6
Everton
34
13
56
7
Liverpool
34
19
51
8
West Brom
33
-1
45
9
Swansea
33
1
42
10
West Ham
34
-7
42
11
Fulham
34
-8
40
12
Southampton
34
-7
39
13
Norwich
34
-20
38
14
Sunderland
34
-7
37
15
Stoke
34
-11
37
16
Newcastle
34
-17
37
17
Aston Villa
34
-27
34
18
Wigan
33
-23
31
19
QPR
34
-27
24
20
Reading
34
-28
24
REAL MADRID KUUMANA USO KWA USO NA MAN U JUNI 2
Mabingwa wa kandanda katika jiji la londond Manchester United na Real Madrid,zinataraji kukutana katika dimba la Uwanja Old Trafford Juni 2 kucheza Mechi maalum itakayoshirikisha Manguli wa Klabu hizo ili kusaidia Mfuko wa Hisani wa Klabu ya Manchester United uitwao RED HEART UNITED.
Mechi hiyo inafuatia ile iliyochezwa Tarehe 3 Juni 2012 huko Santiago Bernabeu kati ya Timu hizi iliyochezwa na Mastaa wa zamani wa Timu hizi ili kutunisha Mfuko wa Hisani wa Real Madrid.
Kwenye Mechi itakayochezwa Juni 2 Uwanjani Old Trafford, kutakuwa na utangulizi wa Shoo Laivu ya Muziki itakayoshirikisha JLS na Amelia Lily.
Kikosi cha Man United kitakuwa chini ya Meneja Bryan Robson ambae aliwahi kuwa Nahodha wa Man United na watawania kulipa kisasi cha kufungwa 3-2 huko Madrid Mwaka jana na safari hii kimeongezwa nguvu kwa kuwepo Mabeki imara toka Norway Ronny Johnsen na Henning Berg ambao walitamba sana Old Trafford enzi zao.
Pia Wachezaji wengine wataongezeka
Man United: Edwin van der Sar, Raimond van der Gouw; Clayton Blackmore, Denis Irwin, Jaap Stam, Lee Martin, Ronny Johnsen, Henning Berg; Jesper Blomqvist, Lee Sharpe, Quinton Fortune; Andy Cole, Dion Dublin, Teddy Sheringham, Dwight Yorke.
Real Madrid: Pedro Contreras; Fernando Hierro, Ivan Helguera, Manolo Sanchis, Christian Karembeu; Claude Makelele, Zinedine Zidane, Steve McManaman, Fernando Redondo, Luis Figo, Guti, Jose Amavisca; Ruud van Nistelrooy, Emilio Butragueno, Alfonso Perez.
USO KWQA USO  3 JUNI 2012:
REAL MADRID 3 MAN UNITED 2
Santiago Bernabeu Stadium
Watazamaji: 65,000
MAGOLI:
Real Madrid:
-Morientes
-Figo
-Redondo
Manchester United
-Lee Sharpe
-Teddy Sheringham
VIKOSI:
Real Madrid: Buyo, Chendo, Roberto Carlos, Hierro, Sanchis, Zidane, Redondo, Butragueño, Morientes, Martin Vazquez, Figo
Man United: Van der Sar, Lee Martin, Irwin, Fortune, Johnsen, Dublin, Cole, Sheringham, Lee Sharpe, Blomqvist, Yorke
MBOMA AWANIA UKOCHA TUIMU YA TAIFA CAMAROON
Ancien du PSG Aristide Arthode Deuhla-Patrick Mboma.JPGCHEZAJI wa zamani wa kimataifa wa Cameroon, Patrick Mboma ameonyesha nia yake ya kuifundisha timu ya taifa ya nchi hiyo na anakusudia kutuma maombi yake Shirikisho la Soka la Cameroon-Fecafoot siku moja baada ya Waziri wa Michezo Adoum Garoua kulitaka shirikisho hilo kufanya mchakato wa kupata kocha mpya. Mshambuliaji huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 42 alikuwemo katika kikosi cha nchi hiyo ambacho kilinyakuwa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2000 na 2002 na pia kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika. Hata hivyo Mboma hajawahi kufundisha timu yoyote na wadau wa soka nchini humo wamedai kuwa mshambuliaji huyo wa zamani wa Paris Saint Germain na Parma hana uzoefu wa kutosha wa kumuwezesha kupewa nafasi ya kuinoa timu hiyo. Lakini pamoja na wadau kuponda uwezo wake Mboma amesema haimkatishi tamaa na atatuma maombi yake kuiwinda nafasi hiyo.

Kuhusu yeye
Full nameHenri Patrick M'Boma Dem
Date of birthNovember 15, 1970 (age 42)
Place of birthDoualaCameroon
Height1.85 m (6 ft 1 in)
Playing positionStriker
Timu alizocheza
YearsTeamApps(Gls)
1990–1992Paris Saint-Germain0(0)
1992–1994Châteauroux48(22)
1994–1995Paris Saint-Germain8(1)
1995–1996Metz17(4)
1996–1997Paris Saint-Germain8(1)
1997–1998Gamba Osaka34(29)
1998–2000Cagliari40(15)
2000–2001Parma24(5)
2002→ Sunderland (mkopo)9(1)
2002–2003Al-Ittihad28(12)
2003–2004Tokyo Verdy 196935(17)
2004–2005Vissel Kobe10(2)
Total261(109)
Timu ya taifa"
1995–2004Cameroon57(33)
TUZO-AWARDS
3.African Nations Cup top scorer: 2002
Cameroon national team
YearAppsGoals
199510
199611
1997106
199881
199943
200099
200194
2002105
200310
200444
Total5733

[edit]