Friday, April 26, 2013

BAYERN YAPINGA KUHUSU MKALI WA REAL MADRID
Mabingwa wa ujerumani msimu huu fc Bayern Munich ya Ujerumani imetoa taarifa ya kupinga kuwa wamefikia makubaliano ya uhamisho na mshambuliaji wa Borussia Dortmund Robert Lewandowski. Wakala wa mshambuliaji wa kimataifa wa Poland, Maik Barthel jana alidai kuwa mchezaji huyo anataka kuondoka Dortmund katika kipindi cha majira kiangazi na kuongeza kuwa wameshafikia makubaliano binafsi na klabu nyingine na kusabaisha kuleta uvumi kwamba atahamia munich. aidha Bayern wamebainisha kuwa hakuna ukweli wowote kuhusiana na taarifa kwamba tayari wamemsajili Lewandowski. hata hivyo Lewandowski mwenye umri wa miaka 24 bado anamkataba na Dortmund ambao unaomalizika mwaka 2014 lakini ameshatoa msimamo wake kuwa hana mpango wa kuongeza mkataba mwingine na klabu hiyo.
  
Robert Lewandowski 2010.jpg


Kuhusu yeye
Full nameRobert Lewandowski
Date of birth21 August 1988 (age 24)
Place of birthWarsawPoland
Height1.84 m (6 ft 0 in)
Playing positionStriker
Club information
Current clubBorussia Dortmund
Number9
Timu ya utoto
1997–2004Varsovia Warsaw
Timu za ukubwa
YearsTeamApps(Gls)
2005Delta Warsaw10(4)
2005–2006Legia Warsaw II?(2)
2006–2008Znicz Pruszków59(36)
2008–2010Lech Poznań58(32)
2010–Borussia Dortmund94(53)
Timu ya Taifa
2008Poland U213(0)
2008–


TUZO BINAFI

Poland53
(17)