Friday, April 26, 2013

DANY LYANGA AIPA YANGA UBINGWA LEO NA KULETA SHANGWE JANGWANI"
Katika mechi ya ligi kuu iliochezwa leo katika dimba la uwanja wa mkwakwani jijini tanga kati ya wawakilishi wa tanzania waliobaki katika michuano ya kombe la shirikisho barani africa azam fc wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wagosi wa kaya coastal union katika mchezo uliokuwa na upinzani wa hali ya juu.

Katika mchezo huo azam fc ndio wa kwanza kupata bao kupitia waliokuwa wa klililowekwa kimiani na beki Aggrey Morris kwa  njia ya mkwaju wa penalti dakika ya 60, baada ya mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Gaudence Mwaikimba kuchezewa rafu katika eneo la hatari  na beki Yussuf Chuma na refa Andrew Shamba wa Pwani kuamuru penalti.
Kwa upande wa coastal union lilipata bao kunako dakika ya  72 mshambuliaji wao hatari dany lyanga aliechukuwa nafasi ya mzenji suileman kassim selembe nakupelea kuleta furaha za ubingwa kwa wanajangwani dar es salaam yanga afrika.
Kwa Matokeo hayo yanaonyesha kuwa Azam FC waliokuwa washindani wakuu wa Yanga SC yenye pointi 56,  kamwe hawawezi kufikisha pointi hizo ambazo wanazo mabingwa hao wapya, kwani hata wakishinda mechi zao nyingine  mbili zilizobaki, watamaliza na pointi 54. 
MECHI ZILIZOBAKI KWA VIGOGO

AZAM FC
Mei 11, 2013;    Vs Mgambo JKT  (Chamazi)
Mei 18, 2013;    Vs JKT Oljoro      (Arusha)

P W D L GF GA GD Pts
2 Azam FC 24 14 5 4 41 19 22 48

SIMBA SC:
Aprili 28, 2013; Vs Polisi Moro       (Taifa)
Mei 5, 2013;      Vs Ruvu Shooting (Taifa)
Mei 8, 2013;      Vs Mgambo JKT   (Taifa)
Mei 18, 2013;    Vs Yanga SC        (Taifa)

P W D L GF GA GD Pts
4 Simba SC 22 9 9 4 32 21 11 36

YANGA SC:
Mei 1, 2013;    Vs Coastal Union  (Taifa)
Mei 18, 2013;  Vs Simba SC        (Taifa)

P W D L GF GA GD Pts
1 Yanga SC 24 17 5 2 44 13 31 56 

MSIMAMO VPL

3 Kagera Sugar      23 11 7 5 25 18 7 40

4 Simba SC        22 9 9 4 32 21 11 36

5 Mtibwa Sugar       24 9 9 6 27 23 4 36

6 Coastal Union      24 8 10 6 24 21 3 34

7 Ruvu Shooting 22 8 6 8 21 21 0 30
8 JKT Oljoro 24 7 7 10 22 27 -5 28
9 Prisons        24 6 8 10 14 21 -7 26
10 JKT Ruvu 24 7 5 12 20 37 -17 26
11 Mgambo JKT        23 7 4 12 16 23 -7 25
12 Toto African        25 4 10 11 22 34 -12 22
13 Polisi Moro        23 3 10 10 12 22 -10 19
14 African Lyon        24 5 4 15 16 36 -20 19

ORODHA TIMU ZILIZOTWAA UBINGWA WA LIGI KUU:
1965 : Sunderland (simba) 
1966 : Sunderland (simba) 
1967 : Cosmopolitans (Dar es Salaam) 
1968 : Yanga 
1969 : Yanga 
1970 : Yanga 
1971 : Yanga 
1972 : Yanga 
1973 : Simba 
1974 : Yanga 
1975 : Mseto SC (Morogoro) 
1976 : Simba 
1977 : Simba 
1978 : Simba 
1979 : Simba 
1980 : Simba 
1981 : Yanga 
1982 : Pan African 
1983 : Yanga 
1984 : Simba 
1985 : Yanga 
1986 : Tukuyu Stars (Mbeya) 
1987 : Yanga 
1988 : Coastal Union (Dar es Salaam) 
1989 : Yanga 
1990 : Simba  
1991 : Yanga 
1992 : Yanga 
1993 : Yanga 
1994 : Simba 
1995 : Simba 
1996 : Yanga 
1997 : Yanga 
1998 : Yanga 
1999 : Mtibwa Sugar (Morogoro) 
2000 : Mtibwa Sugar (Morogoro)  
2001 : Simba 
2002 : Yanga 
2003 : Simba 
2004 : Simba 
2005 : Yanga 
2006 : Yanga 
2007 : Simba (Ligi Ndogo) 
2008 : Yanga 
2009:  Yanga  
2010: Simba SC
2011: Yanga SC
2012: Simba SC
2013: Yanga SC