Katika mechi wa kukata na shoka wapinzani
wa jadi katika soka la Tanzania ambapo kwa ujumla leo ndio ilikuwa tamati ya ligi kuu Vodacom Tanzania bara
yanga leo imesheherekea ubingwa wake kwa furaha kubwa baada ya kuibamiza simba
Bao 2-0 katika Mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Yanga ambao walijinyakulia
Ubingwa mapema wakiwa na baadhi ya michezo mkononi, wameanza mechi hii kwa kasi
zaidi ambapo kunako dakika ya 4 ya mchezo mchezaji wa kimataifa kutoka Burundi Didier
Kavumbagu aliweza kutupia bao la kuongoza na kuleta furaha kwa mashabiki wa
yanga kote Tanzania.
Lakini katika Dakika ya 28 simba
walipata nafasi safi ya kusawazisha Bao hilo walipopata Penati kufuatia Nadir
Haroub 'Cannavaro' kumuangusha Mrisho Ngassa katika eneo la hatari lakini Mussa
Mudde alikosa Penati hiyo baada kipa alli Mustapha barthez kuicheza penati hiyo..
dakika 45 za kipindi cha kwanza Yanga 1
Simba 0 katika Kipindi cha Pili, Dakika ya 63, Hamis Kiiza alifungia Yanga Bao la Pili.
Kwenye Dakika ya 89 Mechi
hii iliingia balaa baada ya masoud Cholo wa Simba na DidierKavumbagu kuvaana na Refa Martin Saanya alipoingilia
kati na kuanguka chini na alipoamka
refa huyo alionekana kutokwa damu lakini Mechi iliendelea.
VIKOSI
VYA LEO:

Akiba: Said Mohamed, Juma
Abdul, Oscar Joshua, Nurdin Bakar, Nizar Khalfan, Said Bahanuz, Jerry Tegete
Simba: Juma
Kaseja, Nassor Masoud 'Chollo', Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Mussa Mudde,
William Lucian, Mwinyi Kazimoto, Abdallah Seseme, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba,
Haruna Chanongo
Akiba: Abel Dhaira, Miraji Adam, Ramadhan Singano 'Messi', Felix
Sunzu, Christopher Edward, Jonas Mkude, Hassan Mkude
REFA: Martin Saanya [Morogoro]
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi
Mei 18
Simba SC 0 Yanga 2
Toto Africans 2 Vs 0 Ruvu
Shooting
Mgambo JKT 1 Vs African Lyon 0
JKT Ruvu 1 Vs 0 Mtibwa
Sugar
TZ Prisons 0 Vs 1 Kagera
Sugar
JKT Oljoro 0 Vs 1 Azam FC
Polisi Moro 1 Vs 0 Coastal
Union
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Timu tano za juu hucheza michuano ya BANK ABC huku Yanga pia mwakani ikiwakilisha Taifa katika Club Bingwa afrika bila kusahau Azam fc kurejea tena katika michuano ya kombe la shirikisho barani afrika kwa mara ya pili baada ya mwaka ya mwaka huu kutolewa na timu ya Far Rabat kwa jumla ya bao 2-1.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Timu tano za juu hucheza michuano ya BANK ABC huku Yanga pia mwakani ikiwakilisha Taifa katika Club Bingwa afrika bila kusahau Azam fc kurejea tena katika michuano ya kombe la shirikisho barani afrika kwa mara ya pili baada ya mwaka ya mwaka huu kutolewa na timu ya Far Rabat kwa jumla ya bao 2-1.
Timu 3 zimeshuka daraja african lyon,Polisi morogoro,Toto african kuzipisha Mbeya city kutoka mbeya tanzania, Ashanti united ya Dar es saalam bila kusahau Rhino Rangers ya Tabora kucheza VPL Msimu ujao.
MSIMAMO:
MSIMAMO:
*YANGA =BINGWA
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
PTS
|
1
|
yanga
|
26
|
18
|
6
|
2
|
47
|
14
|
33
|
60
|
2
|
azam fc
|
26
|
15
|
6
|
4
|
45
|
20
|
25
|
54
|
3
|
simba sc
|
26
|
12
|
9
|
5
|
38
|
25
|
13
|
45
|
4
|
kagera sugar
|
26
|
11
|
8
|
6
|
26
|
19
|
8
|
44
|
5
|
mtibwa sugar
|
26
|
10
|
9
|
6
|
29
|
25
|
5
|
39
|
6
|
coastal union
|
26
|
8
|
11
|
6
|
25
|
24
|
2
|
35
|
7
|
ruvu shooting
|
26
|
8
|
8
|
9
|
22
|
26
|
-2
|
32
|
8
|
jkt oljoro
|
26
|
7
|
8
|
10
|
21
|
26
|
-5
|
29
|
9
|
tanzania prisons
|
26
|
7
|
8
|
10
|
16
|
23
|
-6
|
29
|
10
|
jkt ruvu
|
26
|
7
|
5
|
13
|
21
|
38
|
-18
|
29
|
11
|
mgambo shooting
|
26
|
7
|
4
|
14
|
16
|
27
|
-11
|
28
|
12
|
polisi morogoro
|
26
|
4
|
10
|
11
|
13
|
23
|
-11
|
25
|
13
|
toto african
|
26
|
4
|
10
|
11
|
21
|
33
|
-13
|
25
|
14
|
african lyon
|
26
|
5
|
4
|
16
|
16
|
38
|
-22
|
19
|