Droo ya Listi ya ubora ya fifa
iliyotolewa Leo imeonyesha Mabingwa wa Dunia Spain bado wapo Nambari
Wani wakifuatiwa na Germany, ambao wamebakia Namba 2, huku Tanzania
ikiporomoka Nafasi 5 na kushika Nafasi ya 122 wakati Nafasi ya Juu
kabisa kwa Nchi ya Afrika inakamatwa na Ivory Coast ambao wako Nafasi ya
21wakiwa wamepanda Nafasi 3.

Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa tena na FIFA hapo Tarehe 8 Mei.
20 BORA DUNIANI:
1 Spain
2 Germany
3 Portugal [Wamepanda Nafasi 1]
4 Colombia [Wamepanda Nafasi 1]
5 Uruguay [Wamepanda Nafasi 1]
6 Argentina [Wameshuka Nafasi 3]
6 Brazil [Wamepanda Nafasi 3]
8 Switzerland [Wameshuka Nafasi 1]
9 Italy [Wameshuka Nafasi 1]
10 Greece [Wamepanda Nafasi 3]
11 England [Wamepanda Nafasi 1]
12 Belgium [Wameshuka Nafasi 2]
13 USA [Wamepanda Nafasi 1]
14 Chile [Wamepanda Nafasi 1]
15 Netherlands [Wameshuka Nafasi 4]
16 France [Wamepanda Nafasi 1]
17 Ukraine [Wamepanda Nafasi 1]
18 Russia [Wamepanda Nafasi 1]
19 Mexico [Wamepanda Nafasi 1]
20 Croatia [Wameshuka Nafasi 4]