Watoto wa Jangwani Yanga Sc imeanza vyema kwa kishindo cha aina yake katika Mashindano ya Mapinduzi Cup 2015
huko Visiwani Zanzibar walipoichapa Taifa ya Jang’ombe ya Zanzibar Bao
4-0 katika Mechi ya Kundi A huku Simon Msuva akipiga Bao 3.
Bao jingine la Yanga lilifungwa na Kpah Sherman kutoka Liberia.
Katika
Mechi zilizotangulia hii Leo, KMKM na Mtende zilitoka 0-0 na Azam FC
kutoka pia Sare ya 2-2 na Mabingwa Watetezi wa Kombe hili, KCCA ya
Uganda.
MAKUNDI
KUNDI A
-Yanga
-Taifa ya Jang’ombe [Zanzibar]
-Shaba [Pemba]
-Polisi [Zanzibar]
KUNDI B
-KCCA [Uganda]
-Azam FC
-KMKM [Zanzibar]
-Mtende [Zanzibar]
KUNDI C
-Simba
-Mtibwa Sugar
-JKU [Zanzibar]
-Mafunzo [Zanzibar]
Saa za Bongo
Mechi zote kuchezwa Uwanja wa Amaan isipokuwa inapotajwa
Alhamisi Januari 1
JKU 2 Mafunzo 0
Polisi 1 Shaba 0
Simba 0 Mtibwa 1
Ijumaa Januari 2
KMKM 0 Mtende 0
KCCA 2 Azam FC 2
Yanga 4 Taifa ya Jang’ombe 0
Jumamosi Januari 3
3:00 JKU v Mtibwa
5:00 Mafunzo v Simba
Jumapili Januari 4
1500 KCCA v Mtende
1700 KMKM v Azam FC
1500 Taifa ya Jang’ombe v Shaba [Uwanja wa Mao]
2015 Yanga v Polisi
Jumatatu Januari 5
1500 Mtibwa v Mafunzo
2015 Simba v JKU
Jumanne Januari 6
1500 KCCA v KMKM
1500 Polisi v Taifa ya Jang’ombe [Uwanja wa Mao]
1700 Azam FC v Mtende
2015 Yanga v Shaba
Jumatano Januari 7
Robo Fainali
Mshindi Kundi C v Mshindi wa 3 Bora Na. 2
Mshindi wa Pili Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi C
Alhamisi Januari 8
Mshindi Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A
Mshindi Kundi A v Mshindi wa 3 Bora Na. 1
Jumamosi Januari 10
Nusu Fainali
Mshindi RF 1 v Mshindi RF 2
Mshindi RF 3 v Mshindi RF 4
Jumanne Januari 13
Fainali