Baada Juzi kufanikiwa kutwaa Tuzo mbili za PFA, Professional Footballers' Association, za Mchezaji Bora wa Mwaka pamoja na Mchezaji Bora Kijana wa Mwaka Gareth Bale tena ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka na FWA, Football Writers' Association, na
Katika Msimu huu, Bale ameifungia Tottenham Mabao 19 katika mechi zake 29 za Ligi.
WASHINDI WALIOPITA WA FWA:
-2003: Thierry Henry
-2004: Thierry Henry
-2006: Thierry Henry
-2007: Cristiano Ronaldo
-2008: Cristiano Ronaldo
-2009: Steven Gerrard
-2010: Wayne Rooney
-2011: Scott Parker
-2012: Robin van Persie
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
WASHINDI WALIOPITA WA TUZO MBILI PFA/
FWA KWA MPIGO:
-1980: Terry McDermott
-1983: Kenny Dalglish
-1984: Ian Rush
-1986: Gary Lineker
-1987: Clive Allen
-1988: John Barnes
-1998: Dennis Bergkamp
-1999: David Ginola
-2000: Roy Keane
-2001: Teddy Sheringham
-2003: Thierry Henry
-2004: Thierry Henry
-2007: Cristiano Ronaldo
-2008: Cristiano Ronaldo
-2010: Wayne Rooney
-2011: Robin van Persie
Kikosi cha Mwaka cha Ligi Kuu ya Uingereza ni hiki:
David de Gea (Manchester United), Pablo Zabaleta (Manchester City),
Jan Vertonghen (Tottenham Hotspur), Rio Ferdinand (Manchester United),
Leighton Baines (Everton), Michael Carrick (Manchester United),
Juan Mata (Chelsea), Gareth Bale (Tottenham Hotspur),
Luis Suarez (Liverpool), Eden Hazard (Chelsea),
Robin van Persie (Manchester United).d),
Juan Mata (Chelsea), Gareth Bale (Tottenham Hotspur),
Luis Suarez (Liverpool), Eden Hazard (Chelsea),
Robin van Persie (Manchester United).