Club ya soka ya Chelsea imefanikiwa kuichalaza Timu ya Galataray ya Uturuki kwa mabao
2-0 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye UWanja wa Stamford Bridge
London.

Mabao ya Chelsea yaliwekwa kimiani na Samuel Eto’o na beki Garry Cahill na kuipa Chelsea ushindi wa jumla ya mabao 3-1 baada ya kutoka sare ya bao 1-1 jijini Istambul katika mechi ya kwanza.
UEFA CHAMPIONZ LIGI
Raundi ya Mtoano ya Timu 16
MARUDIANO MATOKEO.
Chelsea FC 2 Galatasaray Spor Kulübü 0 [3-1]
Real Madrid CF 3 Schalke 1 [9-2]
RATIBA MECHI ZA LEO:
Jumatano Machi 19
22:45 BV Borussia Dortmund v Zenit St. Petersburg [4-2]
22:45Man United v Olympiacos CFP [0-2].