
MAGOLI:
Real Madrid 3
-Dakika ya 20 & 24 Karim Benzema
-Dakika ya 55 Ronaldo [Penati]
FC Barcelona 4
-Dakika ya 7 Andres Iniesta
-Dakika ya 42, 65 & 84 Lionel Messi [Penati 2]
Licha ya ushindi huo, Atletico Madrid
ndio wako kileleni wkifuatiwa na Real Madrid na Barca wapo Nafasi ya 3,
Pointi 1 nyuma ya Real na Atletico.
Huko Spain, Timu zikifungana Pointi,
kinachohesabiwa ni Matokeo ya Mechi zao, Uso kwa Uso, ni si Magoli na
kama hilo litafungana ndio Magoli huhesabiwa.
LA LIGA
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Atletico de Madrid |
29 |
22 |
4 |
3 |
66 |
21 |
45 |
70 |
2 |
Real Madrid CF |
29 |
22 |
4 |
3 |
80 |
30 |
50 |
70 |
3 |
FC Barcelona |
29 |
22 |
3 |
4 |
85 |
25 |
60 |
69 |
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Barca ndio waliotangulia kufunga kwa Bao
la Iniesta na Real kujibu kwa Bao mbili za Karim Benzema na kisha Messi
akasawazisha na Gemu kuwa 2-2 hadi Haftaimu.
Ndipo Kipindi cha Pili zikaja Penati 3,
nyingine za utata, wakati Ronaldo alipofunga Bao la 3 kwa Penati, Messi
kusawazisha kwa Penati na kisha kufunga Bao la ushindi kwa Penati zikiwa
zimebaki Dakika 6.
VIKOSI:
REAL MADRID [Mfumo: 4-3-3]:
Lopez,
Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo;
Xabi Alonso, Luka Modric, Di Maria
Gareth Bale, Karim Benzema, Cristiano Ronaldo,
Akiba: Casillas, Varane, Fábio Coentrão, Nacho, Morata, Isco, Illarramendi
BARCELONA [Mfumo: 4-3-3]:
Valdes,
Jordi Alba, Pique,Mascherano, Alves
Xavi, Iniesta, Busquets,
Messi, Neymar, Fabregas,
Akiba: Pedro, Sánchez, Pinto Colorado, Bartra, Song, Adriano, Sergi
Refa: Alberto Undiano Mallenco
WATAZAMAJI: 85,454
LA LIGA
Uso kwa Uso
26/10/13, 18:00 FC Barcelona 2-1 Real Madrid
02/03/13, 16:00 Real Madrid 2-1 FC Barcelona
07/10/12, 19:50 FC Barcelona 2-2 Real Madrid
21/04/12, 20:00 FC Barcelona 1-2 Real Madrid
10/12/11, 22:00 Real Madrid 1-3 FC Barcelona
16/04/11, 22:00 Real Madrid 1-1 FC Barcelona
29/11/10, 21:00 FC Barcelona 5-0 Real Madrid
10/04/10, 22:00 Real Madrid 0-2 FC Barcelona
29/11/09, 19:00 FC Barcelona 1-0 Real Madrid
02/05/09, 20:00 Real Madrid 2-6 FC Barcelona
13/12/08, 22:00 FC Barcelona 2-0 Real Madrid
07/05/08, 22:00 Real Madrid 4-1 FC Barcelona
23/12/07, 19:00 FC Barcelona 0-1 Real Madrid
10/03/07, 22:00 FC Barcelona 3-3 Real Madrid
22/10/06, 21:00 Real Madrid 2-0 FC Barcelona
01/04/06, 22:00 FC Barcelona 1-1 Real Madrid
19/11/05, 20:00 Real Madrid 0-3 FC Barcelona
10/04/05, 19:00 Real Madrid 4-2 FC Barcelona
20/11/04, 22:00 FC Barcelona 3-0 Real Madrid
25/04/04, 19:30 Real Madrid 1-2 FC Barcelona