Arsenal na Liverpool
wanachuana Juventus katika kuwania saini ya beki wa kulia wa Barcelona Martin
Montoya, mwenye 23 ambae amekosa namba kwenye kikosi cha barca.
Mshambuliaji Fernando Torres
anaweza kurejea katika klabu yake ya Chelsea mwezi januari,Ac Milan wanampango
wa kusitisha mkataba wake.
![]() |
WENGER |
Klabu yaNapol ya itali
wanaangalia uwezekano wa kumsajili winga Yannick Bolasie, mwenye miaka 25
kutoka klabu ya Crystal Palace.
Brendan Rodgers
Timu ya Man United wako
tayari kupamba na Real Madrid ili kuweza kupata saini ya kiungo Christoph
Kramer anaekipiga na klabu ya Borussia Monchengladbach, pia kukiwa na tetesi
beki.
![]() |
ROGERS |
Winga wa Chelsea Thorgan
Hazard yuko tayari kujiunga na Borussia Monchengladbach kwa mkataba kamili
baada ya kufanya vizuri katika msimu wake wa kwanza anakocheza kwa mkopo toka
Chelsea.