
Hiyo
itakuwa robo Fainali ya kwanza siku hiyo itakayoanza Saa 11:30 jioni na
kufuatia na mchezo mwingine kati ya wenyeji El Ahli Shandi dhidi ya
Malakia ya Sudan Kusini.
Awali,
kesho zitachezwa Robo Fainali mbili za kwanza kati ya AFC Leopards ya
Kenya na Defence ya Ethiopia Saa 11:30 kabla ya wenyeji El Merreikh
kuumana na Academie Tchite ya Burundi.
Mbeya
City ilitinga Robo Fainali za michuano ya Nile Basin inayoendelea
nchini Sudan kufuatia sare ya bila kufungana na Enticelles ya Rwanda
usiku wa jana Uwanja wa Khartoum.
Matokeo hayo yanaifanya Mbeya City imaliz
Matokeo hayo yanaifanya Mbeya City imaliz
e na pointi nne baada ya mechi tatu,
ikiwa katika nafasi ya pili nyuma ya AFC Leopards ya Kenya walioongoza
kundi kwa pointi zao tisa.
Enticelles imemaliza nafasi ya pil
Enticelles imemaliza nafasi ya pil
i kwa pointi zake mbili na Academie Tchite ya
Burudi imemaliza mkiani mwa Kundi B kwa pointi moja iliyovuna kwenye
sare na timu ya Rwanda.
Michuano hii inayoshirikisha mabingwa wa Kombe la FA au washindi wa pili wa Ligi Kuu za nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), inafanyika kwa mara ya kwanza mwaka huu, Sudan wakiwa wenyeji wa kwanza.
CECAFA imeanzisha mashindano hayo kwa lengo la kuongeza changamoto kwa klabu za ukanda wake.
Michuano hii inayoshirikisha mabingwa wa Kombe la FA au washindi wa pili wa Ligi Kuu za nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), inafanyika kwa mara ya kwanza mwaka huu, Sudan wakiwa wenyeji wa kwanza.
CECAFA imeanzisha mashindano hayo kwa lengo la kuongeza changamoto kwa klabu za ukanda wake.
MSIMAMO
WA:
KUNDI
‘A’
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
Pts.
|
|
Al-Merreikh
|
3
|
2
|
1
|
0
|
7
|
2
|
+5
|
7
|
Victoria
University
|
3
|
2
|
1
|
0
|
4
|
0
|
+4
|
7
|
Malakia
|
3
|
1
|
0
|
2
|
5
|
5
|
0
|
3
|
Police
|
3
|
0
|
0
|
3
|
0
|
9
|
-9
|
0
|
KUNDI
‘B’
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
Pts.
|
|
AFC
Leopards
|
3
|
3
|
0
|
0
|
5
|
1
|
+4
|
9
|
Mbeya
City
|
3
|
1
|
1
|
1
|
4
|
4
|
0
|
4
|
AcademieTchite
|
3
|
1
|
1
|
2
|
3
|
4
|
-1
|
3
|
Entincelles
|
3
|
0
|
0
|
2
|
0
|
3
|
-3
|
1
|
KUNDI
‘C’
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
Pts.
|
|
Al-Shandy
|
2
|
2
|
0
|
0
|
4
|
1
|
+3
|
6
|
Defence
|
2
|
1
|
1
|
0
|
2
|
3
|
-1
|
3
|
Dkhill
|
2
|
0
|
0
|
2
|
2
|
4
|
-2
|
0
|
ROBO
FAINALI
TAREHE
|
M/No.
|
MECHI
|
MAHALA
|
SAA
|
30/05/14
|
16
|
AFC
Leopards Vs Defence
|
MERREIKH
|
6:30pm
|
|
17
|
Al-MerreikhVs
AcademieTchite
|
MERREIKH
|
8:30pm
|
|
|
|
|
|
31/05/14
|
18
|
Victoria
University Vs Mbeya City
|
MERREIKH
|
5:30pm
|
|
19
|
Ahly
Shandi Vs Malakia
|
MERREIKH
|
8:00pm
|
|
|
|
|
|
NUSU
FAINALI
Jumatano
Juni 2
[20].
Mshindi 16 Vs Mshindi 17
[21].
Mshindi 18 Vs Mshindi 19
Jumatano
Juni 4
Mshindi
wa Tatu
22].
Aliefungwa 20 Vs Aliefungwa 21
FAINALI[
23]
Mshindi 20 Vs Mshindi 21