Tuesday, August 19, 2014

COASTAL UNION YAMNASA RAZACK SIWA ATUA RASMI TANGA

ALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa  hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini.
Siwa ameingia mkataba wa mwaka mmoja lengo likiwa kuipa mafanikio makubwa timu hiyo msimu ujao.
Tayari Kocha Siwa ameungana na wachezaji wa timu hiyo leo kupanda ndege kuelekea Visiwani Pemba ambapo timu hiyo inakwenda kuweka kambi ikijiwinda na michuano ya Ligi kuu soka Tanzania bara. Akizungumza kabla ya timu hiyo kuondoka  ,Katibu Mkuu wa Coastal Union ,Kassim El Siagi amesema kuwa kocha huyo wa makipa anachukua nafasi iliyokuwa wazi kutokana na kutokuwa na mwalimu maalumu wa kuwafundisha walinda milango wa Coastal Union. Akizungumzia safari ya timu hiyo, El Siagi alisema kuwa safari ya timu hiyo leo wameondoka  wachezaji 27 wakiaambana na walimu wa timu hiyo ambao wameondoka ambapo watakapofika pemba watafanya mazoezi kwenye uwanja wa soka Gombani. Safari hiyo imefadhiliwa na wadhamini wa timu hiyo kiwanda cha Pemba Floor Mils kilichopo mjini Tanga ambao wamedhamiria kuhakikisha wanaipa mafanikio timu hiyo. Katibu huyo amesema wakiwa visiwani humo watacheza mechi nne za majaribio ambazo zilikwisha kutayarishwa na chama cha mpira wa miguu Pemba pamoja na kuwataka mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kuacha kuwa na wasiwasi na timu hiyo kwa sababu wamefanya usajili wa nguvu .
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5330#sthash.cH0na6pP.dpufALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa  hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapaALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa  hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini.ALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa  hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini.ALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa  hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini. ALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa  hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini.
Wagosi wa kaya Coastal union ya tanga imefanikiwa kumnasa aliyekuwa Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa  hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini.
akizungumnza na mkali wa dimba afisa habari wa wagosi hao Oscar asssenga The Big one special amesema kuwa Siwa ameingia mkataba wa mwaka mmoja lengo likiwa kuipa mafanikio makubwa timu hiyo msimu ujao.
Tayari Kocha Siwa ameungana na wachezaji wa timu hiyo leo kupanda ndege kuelekea Visiwani Pemba ambapo timu hiyo inakwenda kuweka kambi ikijiwinda na michuano ya Ligi kuu soka Tanzania bara. Akizungumza kabla ya timu hiyo kuondoka  ,Katibu Mkuu wa Coastal Union ,Kassim El Siagi amesema kuwa kocha huyo wa makipa anachukua nafasi iliyokuwa wazi kutokana na kutokuwa na mwalimu maalumu wa kuwafundisha walinda milango wa Coastal Union. Akizungumzia safari ya timu hiyo, El Siagi alisema kuwa safari ya timu hiyo leo wameondoka  wachezaji 27 wakiaambana na walimu wa timu hiyo ambao wameondoka ambapo watakapofika pemba watafanya mazoezi kwenye uwanja wa soka Gombani. Safari hiyo imefadhiliwa na wadhamini wa timu hiyo kiwanda cha Pemba Floor Mils kilichopo mjini Tanga ambao wamedhamiria kuhakikisha wanaipa mafanikio timu hiyo. Katibu huyo amesema wakiwa visiwani humo watacheza mechi nne za majaribio ambazo zilikwisha kutayarishwa na chama cha mpira wa miguu Pemba pamoja na kuwataka mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kuacha kuwa na wasiwasi na timu hiyo kwa sababu wamefanya usajili wa nguvu .
Siwa ameingia mkataba wa mwaka mmoja lengo likiwa kuipa mafanikio makubwa timu hiyo msimu ujao.
Tayari Kocha Siwa ameungana na wachezaji wa timu hiyo leo kupanda ndege kuelekea Visiwani Pemba ambapo timu hiyo inakwenda kuweka kambi ikijiwinda na michuano ya Ligi kuu soka Tanzania bara. Akizungumza kabla ya timu hiyo kuondoka  ,Katibu Mkuu wa Coastal Union ,Kassim El Siagi amesema kuwa kocha huyo wa makipa anachukua nafasi iliyokuwa wazi kutokana na kutokuwa na mwalimu maalumu wa kuwafundisha walinda milango wa Coastal Union. Akizungumzia safari ya timu hiyo, El Siagi alisema kuwa safari ya timu hiyo leo wameondoka  wachezaji 27 wakiaambana na walimu wa timu hiyo ambao wameondoka ambapo watakapofika pemba watafanya mazoezi kwenye uwanja wa soka Gombani. Safari hiyo imefadhiliwa na wadhamini wa timu hiyo kiwanda cha Pemba Floor Mils kilichopo mjini Tanga ambao wamedhamiria kuhakikisha wanaipa mafanikio timu hiyo. Katibu huyo amesema wakiwa visiwani humo watacheza mechi nne za majaribio ambazo zilikwisha kutayarishwa na chama cha mpira wa miguu Pemba pamoja na kuwataka mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kuacha kuwa na wasiwasi na timu hiyo kwa sababu wamefanya usajili wa nguvu .
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5330#sthash.cH0na6pP.dpuf

- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5330#sthash.cH0na6pP.dpuf nchini.