UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umeizidi kete klabu ya Simba SC baada ya kumsajili kiungo kati wa timu ya Gormahia ya nchini Kenya,Rama Saluma Mohamed aliyekuwa akiwaniwa na klabu hiyo.
Rama ametua kwenye klabu ya
Coastal Union akitokea nchini Kenya na kusaini mkataba wa kuitumikia
timu hiyo kwa kipindi cha mwaka
mmoja.