
England imerudi 10 Bora kwa kuishusha
Greece wakati Argentina imepanda Nafasi 2 na ipo ya 5 na Uswisi ikoya 6
baada kupanda Nafasi 2.
Kwa Afrika, Timu ya juu kabisa ni
Algeria iliyo Nafasi ya 22 baada kupanda Nafasi 3 na kuipiku Ivory Coast
ambayo iko ya 23 baada kushuka Nafasi 2.
1 Spain [Iko pale pale]
2 Germany [Iko pale pale]
3 Brazil [Imepanda Nafasi 1]
4 Portugal [Imeshuka Nafasi 1]
5 Argentina [Imepanda Nafasi 2]
6 Switzerland [Imepanda Nafasi 2]
7 Uruguay [Imeshuka Nafasi 1]
8 Colombia [Imeshuka Nafasi 3]
9 Italy [Iko pale pale]
10 England [Imepanda Nafasi 1]
11 Belgium [Imepanda Nafasi 1]
12 Greece [Imeshuka Nafasi 2]
13 USA [Imepanda Nafasi 1]
14 Chile [Imeshuka Nafasi 1]
15 Netherlands [Iko pale pale]
16 Ukraine[Imepanda Nafasi 1]
17 France [Imeshuka Nafasi 1]
18 Croatia [Imepanda Nafasi 2]
19 Russia [Imeshuka Nafasi 1]
20 Mexico [Imeshuka Nafasi 1]
21 Bosnia and Herzegovina [Imepanda Nafasi 4]
22 Algeria [Imepanda Nafasi 3]
23 Denmark [Iko pale pale]
23 Côte d'Ivoire [Imeshuka Nafasi 2]
25 Slovenia [Imepanda Nafasi 4]
TANZANIA-NAFASI ILIPO:
108 Kenya
109 Latvia
110 Bahrain
110 Canada
112 Niger
113 Tanzania [Imepanda Nafasi 9]
114 Namibia
115 Kuwait
116 Liberia
116 Rwanda