Mshindi wa mchezo huo uliopigwa katika dimba la Nyamirambo mjini Kigali, Rwanda, alilazimika kupatikana kwa changamoto ya matuta baada ya dakika 90 kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana (0-0)
Wednesday, August 20, 2014
AZAM NJE KOMBE LA KAGAME KWA PENALT 4-3.
Tuesday, August 19, 2014
COASTAL UNION YAMNASA RAZACK SIWA ATUA RASMI TANGA
ALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini.
Siwa ameingia mkataba wa mwaka mmoja lengo likiwa kuipa mafanikio makubwa timu hiyo msimu ujao.
Tayari Kocha Siwa ameungana na wachezaji wa timu hiyo leo kupanda ndege kuelekea Visiwani Pemba ambapo timu hiyo inakwenda kuweka kambi ikijiwinda na michuano ya Ligi kuu soka Tanzania bara. Akizungumza kabla ya timu hiyo kuondoka ,Katibu Mkuu wa Coastal Union ,Kassim El Siagi amesema kuwa kocha huyo wa makipa anachukua nafasi iliyokuwa wazi kutokana na kutokuwa na mwalimu maalumu wa kuwafundisha walinda milango wa Coastal Union. Akizungumzia safari ya timu hiyo, El Siagi alisema kuwa safari ya timu
hiyo leo wameondoka wachezaji 27 wakiaambana na walimu wa timu hiyo
ambao wameondoka ambapo watakapofika pemba watafanya mazoezi kwenye
uwanja wa soka Gombani. Safari hiyo imefadhiliwa na wadhamini wa timu hiyo kiwanda cha Pemba Floor Mils kilichopo mjini Tanga ambao wamedhamiria kuhakikisha wanaipa mafanikio timu hiyo. Katibu huyo amesema wakiwa visiwani humo watacheza mechi nne za majaribio ambazo zilikwisha kutayarishwa na chama cha mpira wa miguu Pemba pamoja na kuwataka mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kuacha kuwa na wasiwasi na timu hiyo kwa sababu wamefanya usajili wa nguvu .
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5330#sthash.cH0na6pP.dpufALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapaALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini.ALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini.ALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini. ALIYEKUWA Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini.
Wagosi wa kaya Coastal union ya tanga imefanikiwa kumnasa aliyekuwa Kocha wa makipa wa timu ya Yanga Razack Siwa hatimaye ameingia mkataba wa kuwanoa makipa wa timu ya Coastal Union ya Tanga ambayo inajiandaa na maandalizi ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania bara utakaoanza Mwezi ujao hapa nchini.
akizungumnza na mkali wa dimba afisa habari wa wagosi hao Oscar asssenga The Big one special amesema kuwa Siwa ameingia mkataba wa mwaka mmoja lengo likiwa kuipa mafanikio makubwa timu hiyo msimu ujao.
Siwa ameingia mkataba wa mwaka mmoja lengo likiwa kuipa mafanikio makubwa timu hiyo msimu ujao.
Tayari Kocha Siwa ameungana na wachezaji wa timu hiyo leo kupanda ndege kuelekea Visiwani Pemba ambapo timu hiyo inakwenda kuweka kambi ikijiwinda na michuano ya Ligi kuu soka Tanzania bara. Akizungumza kabla ya timu hiyo kuondoka ,Katibu Mkuu wa Coastal Union ,Kassim El Siagi amesema kuwa kocha huyo wa makipa anachukua nafasi iliyokuwa wazi kutokana na kutokuwa na mwalimu maalumu wa kuwafundisha walinda milango wa Coastal Union. Akizungumzia safari ya timu hiyo, El Siagi alisema kuwa safari ya timu
hiyo leo wameondoka wachezaji 27 wakiaambana na walimu wa timu hiyo
ambao wameondoka ambapo watakapofika pemba watafanya mazoezi kwenye
uwanja wa soka Gombani. Safari hiyo imefadhiliwa na wadhamini wa timu hiyo kiwanda cha Pemba Floor Mils kilichopo mjini Tanga ambao wamedhamiria kuhakikisha wanaipa mafanikio timu hiyo. Katibu huyo amesema wakiwa visiwani humo watacheza mechi nne za majaribio ambazo zilikwisha kutayarishwa na chama cha mpira wa miguu Pemba pamoja na kuwataka mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kuacha kuwa na wasiwasi na timu hiyo kwa sababu wamefanya usajili wa nguvu .
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5330#sthash.cH0na6pP.dpuf

- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5330#sthash.cH0na6pP.dpuf nchini.

- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5330#sthash.cH0na6pP.dpufMAKOCHA WA COPA COCA-COLA KUPIGWA MSASA JIJINI DAR
Kozi hiyo itafanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 25 hadi 29 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya maandalizi michuano ya Copa Coca-Cola ngazi ya Taifa itakayochezwa Septemba mwaka huu.
Makocha watakaoshiriki kozi hiyo na mikoa yao kwenye mabano ni Ahmed Simba (Mwanza), Ally Kagire (Kagera), Aloyce Mayombo (Pwani), Andrew Zoma (Tabora), Anthony Mwamlima (Mbeya), Athuman Kairo (Morogoro), Bakari Ali (Kaskazini Pemba) na Charles Mayaya (Shinyanga).
Fidelis Kalinga (Iringa), Gabriel Gunda (Singida), Hafidh Muhidin Mcha (Kusini Pemba), Hamis Mabo (Kigoma), John William (Geita), Joseph Assey (Shinyanga), Joseph Haley (Manyara), Jumanne Ntambi (Kilimanjaro), Leonard Jima (Ruvuma), Madenge Omari (Mara), Mohamed Muya (Dodoma), Nicholas Kiondo (Ilala) na Nurdin Gogola (Temeke).
Waamuzi vijana watakaoshiriki kozi hiyo chini ya Mkufunzi wa FIFA, Felix Tangawarima wa Zimbabwe ni 33. Kwa upande wa ukocha Mkufunzi ni Ulric Mathiott kutoka Shelisheli.
DR MSOLLA IONYA SIMBA NA YANGA KUELEKEA VPL
Simba ya Patrick Phiri iko kambini Unguja na Yanga ya Marcio Maximo jana Jumatatu imetua Pemba. Msolla amesema Azam imejiweka kwenye nafasi nzuri timu anazocheza nazo huko Rwanda ni za kiwango cha kimataifa timu hizo zitaweza kuwapima vizuri na kuwasaidia pia wakirejea watakuwa na muda wa kama wiki tatu kurekebisha makosa yao.
Simba na Yanga wao nimesikia wameweka kambi Zanzibar napata wasiwasi kama wataweza kupata mechi kubwa za kirafiki kutokana na muda kwenda wasijidanganye kucheza na timu za Zanzibar kwani timu za kule ziko chini, ligi yao si ya ushindani kama ya Bara.Wakishindwa kuwa na mechi kubwa za kirafiki watapata shinda mwanzo wa msimu kwani watakuwa hawajakomaa vizuri, pia katika mechi hizo lazima wazingatie ngazi waliyopo, kwa mfano Simba ilicheza na Zesco wakati ikiwa kwenye ngazi za awali, ile haikuwa kipimo tosha.
POLISI MORO WAJIGAMBA KUHUSU MRWANDA NA MACHAKU
Benchi la ufundi la kikosi hicho chini ya kocha mkuu,Adolf Rishard na msaidizi wake, John Tamba wanawatengeneza mfumo ambao utawafanya mabeki na viungo kuwatengenezea washambuliaji hao nafasi nyingi za mabao.
Tamba amesema Kombinesheni ya Machaku, Mrwanda na Mwasekaga iko vizuri na ili kuwaongezea ubora, tunatengeneza mfumo mzuri wa kisasa utakaokuwa na muunganiko kunzia beki, kiungo ambao watawapa nafasi nzuri za kufunga washambuliaji.”
Subscribe to:
Posts (Atom)