FAINALI FA CUP
MUDA: SAA 1 NA ROBO USIKU LEO
UWANJA: WEMBLEY
MAN CITY VS WIGAN ATHLETIC
HARAKATI HADI KUFIKA FAINALI.
WIGAN:
-Raundi ya 3: Wigan 1 Bournemouth 1 MARUDIANO :Bournemouth 0 Wigan 1
-Raundi ya 4: Macclesfield Town 0 Wigan 1
-Raundi ya 5: Huddersfield Town 1 Wigan 4
-Raundi ya 6: Everton 0 Wigan 3
MAN CITY:
-Raundi ya 3: Man City 3 Watford 0
-Raundi ya 4: Stoke City 0 Man City 1
-Raundi ya 5: Man City 4 Leeds United 0
-Raundi ya 6: Man City 5 Barnsley 0
-NUSU FAINALI [Wembley]: Man City2 Chelsea 2
Ukitoa tathimini ya haraka haraka Kwa Man City hii ni Mechi rahisi kwa upande wao kutokana wanakutana na timu kibonde Wigan Athletic ambayo katika Ligi, BPL,Barclays Premier League ipo katika janga la kushusuhwa Daraja.
Man city fa cup wametwaa mara 5 na hii ni fainali mara 10
Mwaka 1904, 1934, 1956, 1969 na 2011.
Kwa upande wa Man United wamekuwa Washindi wa Pili mara 4 katika FA CUP ambapo ni Miaka ya 1926, 1933, 1955 na 1981.
2012/2013
17 Apr Man City 1 Wigan 0
28 Nov Wigan 0 Man City 2
2011/2012
16 Jan Wigan 0 Man City 1
10 Sep Man City 3 Wigan 0
2010/2011
05 Mar Man City 1 Wigan 1
19 Sep Wigan 0 Man City 2
2009/2010
29 Mar Man City 3 Wigan 0
18 Okt Wigan 1 Man City 1