Saturday, May 11, 2013

FA CUP: WIGAN MABINGWA, MAN CITY HOI HATA KOMBE MOJA MSIMU HUU


Kunako dakika ya  91 goli la Ben Watsoni  limewapa ubingwa Wigan athletic, Timu ambayo ipo katika janga la  kushushwa Daraja, wa Bao 1-0 walipoitandika Manchester City kwenye Fainali ya FA CUP  iliyopigwa katika dimba la Wembley Stadium hii leo.
katika mtanange wa leo wigan  Wigan walionekana  kuonyesha bora na  ushirikiano mzuri sana huku Mchezaji wao Callum McManaman akiwatesa sana na kusababisha   Pablo Zabaleta wa city kutolewa nje kwa kupewa Kadi ya Njano ya Pili na hivyo kuzawadiwa Kadi Nyekundu katika Dakika ya 83.
shangwe na nderemo hii kubwa  wigan utwaa Taji lao la kwanza katika Histora yao Wigan wana kibarua kigumu kujihakikishia wanaepukana na janga la kushushwa Daraja kwani wapo katka nafasi ya 3 toka mkiani na wamebakisha Mechi 2 tu, ya kwanza ikiwa ni Jumanne Uwanjani Emirates watakapoivaa Arsenal.
WASHINDI WA FA CUP
FA_CUP-NEW_LOGO
2013
wigan athletic
2012
Chelsea FC
2011
Manchester City
2010
Chelsea FC
2009
Chelsea FC
2008
Portsmouth FC
2007
Chelsea FC
2006
Liverpool FC
2005
Arsenal FC
2004
Manchester United
2003
Arsenal FC
2002
Arsenal FC
2001
Liverpool FC
2000
Chelsea FC
1999
Manchester United
1998
Arsenal FC
1997
Chelsea FC
1996
Manchester United
1995
Everton FC
1994
Manchester United
1993
Arsenal FC
1992
Liverpool FC
1991
Tottenham Hotspur
1990
Manchester United
1989
Liverpool FC
1988
Wimbledon FC
1987
Coventry City
1986
Liverpool FC
1985
Manchester United
1984
Everton FC
1983
Manchester United
1982
Tottenham Hotspur
1981
Tottenham Hotspur
1980
West Ham United
1979
Arsenal FC
1978
Ipswich Town
1977
Manchester United
1976
Southampton FC
1975
West Ham United
1974
Liverpool FC
1973
Sunderland AFC
1972
Leeds United
1971
Arsenal FC
1970
Chelsea FC
1969
Manchester City
1968
West Bromwich Albion
1967
Tottenham Hotspur
1966
Everton FC
1965
Liverpool FC
1964
West Ham United
1963
Manchester United
1962
Tottenham Hotspur
1961
Tottenham Hotspur
1960
Wolverhampton Wanderers
1959
Nottingham Forest
1958
Bolton Wanderers
1957
Aston Villa
1956
Manchester City
1955
Newcastle United
1954
West Bromwich Albion
1953
Blackpool FC
1952
Newcastle United
1951
Newcastle United
1950
Arsenal FC
1949
Wolverhampton Wanderers
1948
Manchester United
1947
Charlton Athletic
1946
Derby County
1939
Portsmouth FC
1938
Preston North End
1937
Sunderland AFC
1936
Arsenal FC
1935
Sheffield Wednesday
1934
Manchester City
1933
Everton FC
1932
Newcastle United
1931
West Bromwich Albion
1930
Arsenal FC
1929
Bolton Wanderers
1928
Blackburn Rovers
1927
Cardiff City
1926
Bolton Wanderers
1925
Sheffield United
1924
Newcastle United
1923
Bolton Wanderers
1922
Huddersfield Town
1921
Tottenham Hotspur
1920
Aston Villa
1915
Sheffield United
1914
Burnley FC
1913
Aston Villa
1912
Barnsley FC
1911
Bradford City
1910
Newcastle United
1909
Manchester United
1908
Wolverhampton Wanderers
1907
Sheffield Wednesday
1906
Everton FC
1905
Aston Villa
1904
Manchester City
1903
Bury FC
1902
Sheffield United
1901
Tottenham Hotspur
1900
Bury FC
1899
Sheffield United
1898
Nottingham Forest
1897
Aston Villa
1896
Sheffield Wednesday
1895
Aston Villa
1894
Notts County
1893
Wolverhampton Wanderers
1892
West Bromwich Albion
1891
Blackburn Rovers
1890
Blackburn Rovers
1889
Preston North End
1888
West Bromwich Albion
1887
Aston Villa
1886
Blackburn Rovers
1885
Blackburn Rovers
1884
Blackburn Rovers
1883
Blackburn Olympic
1882
Old Etonians
1881
Old Carthusians
1880
Clapham Rovers
1879
Old Etonians
1878
The Wanderers
1877
The Wanderers
1876
The Wanderers
1875
Royal Engineers
1874
Oxford University
1873
The Wanderers
1872
The Wanderers
WALIOTWAA MARA NYINGI FA CUP:
Man United Mara 11
Arsenal 10
Tottenham Hotspur 8
Liverpool 7
Chelsea  7
Aston Villa 7
Newcastle United 6
Blackburn Rovers 6
Everton 5
West Bromwich Albion 5
Manchester City 5
Bolton Wanderers 5