Aliyekuwa Ofisa Habari wa TFF, Boniface
Wambura Nyota emeendelea kunga’aa katika anga la kichezo ambapo sasa atakuwa
Mkurugenzi wa Mashindano wa shirikisho hilo.
Wambura amepata nafasi hiyo baada ya TFF kuamua kumpandisha
cheo na sasa anaicha ile nafasi yake ya ofisa habari.
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesugwa Celestine ameyasema
hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar.