Meneja mpya
Barcelona, Gerardo Martino amekiri kuwa kikosi chake bado hakijawa katika
hali anayoitaka.
“Kweli tumecheza na kushinda katika mechi za majaribio, lakini kiwango haikuwa kizuri.
“Hata mashabiki waliokuja katika mechi zetu watakubaliana nasi kwamba hatukuwa katika fomu nzuri.
“Lakini tutajipanga, mambo yatakuwa tifauti tutakapoanza msimu na mechi yetu na Levante hakika tutafanya vizuri sana,” alisema kocha huyo maarufu Tata.
Kocha huyo amechukua nafasi ya Tito Vilanova ambaye ameshindwa kuendelea na kazi kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa kansa.