Hii leo Mambo yamegeuka kwenye Uwanja wa
Taifa Jijini Dar es Salaam kwa wapinzani wao wa Jadi Simba Wekundu wa Msimbazi imekubali
kipigo cha Bao 3-2 kutoka kwa Maafande wa Jkt Ruvu.
Mabao ya Simba yamewekwa kimiani na
Mshambuliaji wake Mahiri Hamis Tambwe katika dakika ya 65 baada ya Kiemba
kuangushwa katika eneo la hatari na muamuzi kuamuru mkwaju wa penalt.
Lakini mkali huyo alirejea tena wavuni kwa
mara ya pili kunako dakika ya 84 baada kupekea krosi safi ya amri kiemba na
kufunga bao hilo kwa njia ya kichwa.
Kwa upande wa Jkt Ruvu mabo yamepatikana
katika dakika ya 13 mfungaji Hussein Bunu pamoja na Emmanuel
Swita aliefunga magoli mawili kunako dakika ya 45 kwa njia ya penalt huku
akiweka bao jingine katika dakika ya 53 baada ya kugongeana na Amos Mgisa.
Na huko kwenye
Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Azam FC ikishuka kupepetana na Tanzania Prisons
ya Mbeya matokeo azam imelazimishwa sare ya mabao 2-2.
Ligi Kuu Vodacom
Jumapili Februari 23
Simba 2 v JKT Ruvu 3
Azam FC 2 v Tanzania Prisons 2
Jumatano Februari 26
Azam FC v Ashanti United
MSIMAMO:
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GD
|
PTS
|
1
|
Yanga
SC
|
17
|
11
|
5
|
1
|
29
|
38
|
2
|
Azam
FC
|
17
|
10
|
6
|
0
|
21
|
37
|
3
|
Mbeya
City
|
19
|
9
|
8
|
2
|
8
|
35
|
4
|
Simba
SC
|
19
|
8
|
8
|
2
|
19
|
32
|
5
|
Kagera
Sugar
|
19
|
6
|
8
|
5
|
1
|
26
|
6
|
Coastal
Union
|
19
|
5
|
10
|
4
|
5
|
25
|
7
|
Mtibwa
Sugar
|
19
|
6
|
7
|
6
|
0
|
25
|
8
|
Ruvu
Shooting
|
18
|
6
|
7
|
5
|
-4
|
25
|
9
|
JKT
Ruvu
|
18
|
6
|
1
|
11
|
-14
|
19
|
10
|
Prisons
FC
|
17
|
3
|
7
|
6
|
-5
|
18
|
11
|
Mgambo
JKT
|
19
|
4
|
5
|
10
|
-17
|
17
|
12
|
Ashanti
United
|
18
|
3
|
5
|
10
|
-15
|
14
|
13
|
JKT
Oljoro
|
19
|
2
|
8
|
9
|
-15
|
14
|
14
|
Rhino
Rangers
|
19
|
2
|
7
|
10
|
-11
|
13
|