Uwanja wa
Nyumbu uliopo mkoani Pwani utazikutanisha timu za Mjini Magharibi na Dodoma
katika mechi ya kundi B, wakati kundi C kutakuwa na mechi kati ya Arusha na
Mwanza itakayochezwa Uwanja wa Tanganyika Packers uliopo Kawe jijini Dar es
Salaam.
Wakati
kesho (Desemba 17 mwaka huu) ikiwa ni mapumziko, michuano hiyo itaingia hatua
ya robo fainali keshokutwa (Desemba 18 mwaka huu) kwenye viwanja hivyo hivyo.